Hifadhi ya Asili ya Cova-Paul-Ribeira da Torre

Hifadhi ya Asili ya Cova-Paul-Ribeira da Torre, Ipo mashariki mwa kisiwa cha Santo Antão, ni mojawapo ya "mbuga za asili" kumi katika nchi ya Cape Verde . [1]

Eneo lake ni kilomita za mraba 20.92. [2] , Hifadhi hiyo iko kwenye orodha ya majaribio ya maeneo ya Urithi wa Dunia . [3]

  1. Parques Naturais, Áreas protegidas Cabo Verde
  2. Resolução nº 36/2016 Archived 18 Januari 2021 at the Wayback Machine., Estratégia e Plano Nacional de Negócios das Áreas Protegidas
  3. Parc Naturel Cova, Paúl et Ribeira da Torre, UNESCO

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy